Sema Tu: tiketi ya ndege bila wakala wala fomu
Just Say It: a flight ticket without an agent or a form
Wengi wanakata tiketi ya ndege kwa wakala anayesema “Nitakurudia”, au kwenye website inayokuomba jina, tarehe ya kuzaliwa na pasipoti mara kwa mara mpaka “Muda umeisha”. Kika AI ina taarifa zako: unasema “Mwanza, Ijumaa asubuhi”, unathibitisha msafiri kwa kubofya mara moja, na tiketi inaingia WhatsApp, na vikumbusho na familia ikifuatilia safari.
Many people buy flights through an agent who says “I'll call you back”, or on a website that asks for your name, birth date and passport again and again until “Session expired”. Kika AI keeps your details: you say “Mwanza, Friday morning”, confirm the traveller in one tap, and the ticket lands in WhatsApp, with reminders and the family following the trip.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- MsimuliziWatanzania wengi… tiketi ya ndege wanakata kwa wakala. Unampigia, anakwambia: “Nitakurudia.”
- MsimuliziWengine wanajaribu website. Jina, tarehe ya kuzaliwa, namba ya pasipoti… tena… na tena… Daah! Muda umeisha. Anza upya.
- MsimuliziMimi? Natumia Kika AI. Ina taarifa zangu zote. Naiambia tu: Mwanza, Ijumaa asubuhi.
- MsimuliziInaniuliza: “Ni safari yako, Juma?” Ndiyo. Na… boom!
- MsimuliziTiketi iko WhatsApp, vikumbusho vimewekwa, na familia inafuatilia safari yangu.
- MsimuliziNa yule wakala? Bado hajanirudia. Wewe sema tu unakoenda. Kika AI.
Video nyingine
1:18Peke Yangu: wikendi Zanzibar, chat moja
0:35Boti ya Zanzibar: tiketi ndani ya chat
0:35Ipige Picha: chochote unachokiona, kwa picha tu
0:59Kika Moja: tiketi zote, chat moja
1:08Tunarudi Moshi: tiketi za basi bila stendi wala app
1:38Kika inapiga simu dukani
1:06Fundi wawili: saa nne Kariakoo, au dakika kumi na Kika
1:16Screenshot moja: krimu ya mtoto, duka la dawa la karibu
1:26Usitapeliwe: bili ya milioni mbili