Ipige Picha: chochote unachokiona, kwa picha tu
Snap It: anything you see, from a photo
Piga picha ya chochote unachokipenda na umtumie Kika AI kwenye WhatsApp. Kika inatambua kila kipande cha look, inakutafutia keki kama hiyo kwenye bakery za karibu, inakupa spea ya gari hata kama hujui inaitwaje, na inachora kwenye picha yako kukuonyesha jinsi ya kukifunga.
Snap anything you like and send it to Kika AI on WhatsApp. Kika spots every piece of a look, finds a cake like it at nearby bakeries, finds the car part even if you don't know its name, and draws on your own photo to show you how to fit it.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- MsimuliziVuta picha… Chochote unachokiona, unakipata kwa picha tu.
- MsimuliziPiga picha, mtumie Kika AI WhatsApp.
- MsimuliziIwe look nzima unayoipenda, keki ya ndoto yako, au spea ya gari, hata kama hujui inaitwaje.
- MsimuliziHujui jinsi ya kuifunga? Kika itakuonyesha.
- MsimuliziChochote kinachokuvutia, kipate na Kika AI. Kione. Kipate. Kika AI.
Video nyingine
1:18Peke Yangu: wikendi Zanzibar, chat moja
0:54Sema Tu: tiketi ya ndege bila wakala wala fomu
0:35Boti ya Zanzibar: tiketi ndani ya chat
0:59Kika Moja: tiketi zote, chat moja
1:08Tunarudi Moshi: tiketi za basi bila stendi wala app
1:38Kika inapiga simu dukani
1:06Fundi wawili: saa nne Kariakoo, au dakika kumi na Kika
1:16Screenshot moja: krimu ya mtoto, duka la dawa la karibu
1:26Usitapeliwe: bili ya milioni mbili