Usitapeliwe: bili ya milioni mbili
Don't get cheated: a TSh 2 million bill
Fundi alimpa Layla bili ya shilingi milioni mbili. Alipiga picha ya orodha na kumtumia Kika, iliyopiga simu maduka ya Kariakoo, ikapima bei zote na kuacha duka lenye bei ya chini mno. Vipuri halisi vilipatikana kwa milioni moja na laki mbili.
A mechanic handed Layla a TSh 2 million bill. She photographed the list and sent it to Kika, which called shops in Kariakoo, weighed every price and dropped the one that was suspiciously cheap. Genuine parts came to TSh 1.2 million.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- LaylaJuzi nilienda kwa mechanic, kutengeneza gari yangu.
- LaylaKisha akanipa bill. Kwa kweli, hii bill nilikuwa sielewi sana. Yule fundi akasema vipuri vyote ni lazima. Jumla? Milioni mbili.
- LaylaNikafungua WhatsApp, nikapiga picha ya ile orodha, nikamtumia Kika. Nikamwambia, niko Kariakoo. Nitafutie hivi vipuri kwenye maduka ya karibu, na bei zake.
- LaylaNa hapa ndipo pazuri. Kika, ikaanza kuyapigia simu maduka. Duka baada ya duka. Ikiuliza kila kipuri, kila bei.
- LaylaKisha Kika, ikayapima maduka yote. Bei ipi ni ya kweli? Kwa sababu wengine bei yao iko chini mno. Hivyo ni vipuri feki.
- LaylaMajibu yakaja. Jumla? Milioni moja, laki mbili. Vipuri halisi, hapo hapo Kariakoo. Na onyo. Duka moja lilisema laki sita tu. Bei ya chini mno. Kika, ikaliacha.
- LaylaNikamwonyesha fundi. Aisee, aibu ikamshika. Akasema, sawa dada, samahani.
- LaylaKika itaanza kuyapigia maduka simu kwa niaba yako. Hivi karibuni. Ili usitapeliwe tena. Kika, kwenye WhatsApp yako.



