Fundi wawili: saa nne Kariakoo, au dakika kumi na Kika
Two mechanics: four hours at Kariakoo, or ten minutes with Kika
Mafundi wawili wa gereji moja wanahitaji kipuri cha BMW kila mmoja. Juma anatuma picha kwa Kika, inayopiga simu maduka ya vipuri vya BMW jijini Dar, na ndani ya dakika kumi anapata kipuri original kwa bei nafuu zaidi. Abdallah anarudi kutoka Kariakoo saa nne baadaye, mikono mitupu.
Two mechanics at one garage each need a BMW part. Juma sends Kika a photo; it calls BMW parts shops across Dar, and within ten minutes he has the original part at the best price. Abdallah comes back from Kariakoo four hours later, empty-handed.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- JumaMimi na Abdallah tunafanya kazi gereji moja. Siku moja, kila mmoja wetu alikosa kipuri kimoja cha BMW.
- JumaNikamwambia, tumia Kika. Akasema, haja ya nini? Akapanda boda, akaenda Kariakoo.
- JumaMimi nikabaki gereji. Nikapiga picha ya kipuri, nikamtumia Kika kwenye WhatsApp.
- JumaKika ikaanza kupiga simu maduka ya vipuri vya BMW hapa Dar, moja baada ya jingine.
- JumaNdani ya dakika kumi, ikanipa duka lenye kipuri hicho hicho. Original, na bei nafuu kuliko zote: laki tatu na elfu themanini.
- JumaKabla ya mchana, gari langu lilikuwa tayari. Abdallah akarudi saa nne baadaye, mikono mitupu.
- JumaNikapiga picha ya kipuri chake, nikamtumia Kika. Dakika saba tu, kikapatikana.
- JumaEeh bwana eeh... tumia Kika AI kwenye WhatsApp, kutafuta bidhaa yoyote, popote, muda wowote. Bure kabisa!



