Kika Moja: tiketi zote, chat moja
One Kika: every ticket, one chat
Boti ya kwenda Pemba, treni ya Dodoma, basi la Mwanza, events za wikendi. Badala ya app kumi na nne, unamwambia Kika kwenye WhatsApp. Inakuuliza swali moja moja, na tiketi inaingia kwenye WhatsApp yako.
A ferry to Pemba, a train to Dodoma, a bus to Mwanza, weekend events. Instead of fourteen apps, you tell Kika on WhatsApp. It asks one question at a time, and the ticket lands in your WhatsApp.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- MwanaumeHabari Kika! Nataka kununua tiketi ya boti kwenda Pemba.
- MwanamkeKika, nataka tiketi za treni kwenda Dodoma.
- MzeeKika, nataka basi la kwenda Mwanza kesho asubuhi.
- MtotoKika, nataka ndege ya kwenda Kilimanjaro, kumuona bibi!
- MsichanaKika, kuna events zozote weekend hii?
- WoteNataka boti! Nataka treni! Nataka basi! Nataka ndege! Nataka events! Nataka hii! Nataka ile! Nataka, nataka, nataka!
- KikaBoti, treni, basi, ndege, events. Kika moja.
- MwanaumeKika, nataka kusafiri leo.
- KikaHabari Mohamed! Nipe tarehe, na jina kamili kama lilivyo kwenye kitambulisho. Tunaanza sasa hivi.
- KikaAnza leo. Bure, kwenye WhatsApp. Kika AI.



