Boti ya Zanzibar: tiketi ndani ya chat
The Zanzibar ferry: the ticket inside the chat
Wikendi ya Zanzibar inaanza na ujumbe mmoja: “Boti Dar → Zanzibar, Jumamosi asubuhi, watu 2.” Kika AI inakuletea boti za siku hiyo na madaraja yake, unachagua, na tiketi ya Zan Fast Ferries inaingia kwenye chat. Siku ya safari, Kika inakukumbusha mapema.
A Zanzibar weekend starts with one message: “Ferry Dar → Zanzibar, Saturday morning, 2 people.” Kika AI shows that day's sailings and their classes, you choose, and the Zan Fast Ferries ticket lands in the chat. On the day, Kika reminds you early.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- MsimuliziZanzibar inakuita… Beach safi, Mji Mkongwe, jioni ya Forodhani.
- MsimuliziTiketi ya boti? Mwambie Kika AI tu.
- MsimuliziInakuletea ratiba zote na daraja lako, unachagua, unathibitisha, na tiketi inaingia hapa hapa kwenye chat.
- MsimuliziSiku ya safari, Kika inakukumbusha mapema. Panda boti, tulia… Zenji hiyooo!
- MsimuliziChati. Pata. Safiri. Kika AI.
Video nyingine
1:18Peke Yangu: wikendi Zanzibar, chat moja
0:54Sema Tu: tiketi ya ndege bila wakala wala fomu
0:35Ipige Picha: chochote unachokiona, kwa picha tu
0:59Kika Moja: tiketi zote, chat moja
1:08Tunarudi Moshi: tiketi za basi bila stendi wala app
1:38Kika inapiga simu dukani
1:06Fundi wawili: saa nne Kariakoo, au dakika kumi na Kika
1:16Screenshot moja: krimu ya mtoto, duka la dawa la karibu
1:26Usitapeliwe: bili ya milioni mbili