Tiketi za basi online, Tanzania nzima
Hakuna kwenda stendi, hakuna app ya kupakua. Mwambie Kika unakoenda na lini kwenye WhatsApp: inatafuta mabasi yenye viti wazi, unachagua, unalipa kwa simu, na tiketi inaingia WhatsApp yako.
Kata tiketi kwenye WhatsApp →WhatsApp +255 651 059 040
Jinsi ya kukata tiketi kwa dakika mbili
- 1Tuma unakotoka, unakoenda na tarehe kwa Kika kwenye WhatsApp.
- 2Kika inakuonyesha mabasi ya siku hiyo: muda wa kuondoka, daraja (VIP, Luxury, ya kawaida) na bei.
- 3Chagua basi na kiti; Kika inakishikilia kwa ajili yako.
- 4Weka PIN kwenye simu yako: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa.
- 5Tiketi (PDF) inaingia kwenye WhatsApp yako. Kika inakukumbusha kabla ya safari na unaweza kufuatilia basi lako.
Mabasi mengi, chat moja
Kika inalinganisha mabasi yanayouza viti online kwa njia yako, badala ya kupiga simu ofisi moja moja.
Lipa kwa simu yako
Malipo yanaanzishwa moja kwa moja kwenye simu yako; Kika haikuombi kutuma pesa kwa mtu.
Tiketi kwenye WhatsApp
Tiketi rasmi ya basi inaingia kwenye chat yako. Ukiipoteza, mwambie Kika ikutumie tena.
Fuatilia basi lako
Familia yako inaweza kuona basi liko wapi, na Kika inakukaribisha unapofika.
Maswali ya mara kwa mara
- Nawezaje kukata tiketi ya basi online Tanzania?
- Fungua WhatsApp, mwandikie Kika (+255 651 059 040) unakoenda na tarehe. Kika itakuonyesha mabasi, viti na bei; unachagua, unalipa kwa simu na tiketi inaingia WhatsApp.
- Nauli za mabasi ni kiasi gani?
- Nauli inategemea basi, daraja (VIP, Luxury au ya kawaida) na tarehe. Kika inakuonyesha bei halisi ya kila basi la siku yako kabla ya kulipa.
- Nalipaje?
- Kwa simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa. Unaweka PIN kwenye simu yako mwenyewe.
- Tiketi inakuja vipi?
- Tiketi ya basi (PDF) inaingia kwenye WhatsApp yako mara malipo yakithibitishwa. Unaionyesha kondakta au ofisini.
- Kuna app ya kupakua?
- Hapana. Kila kitu ni ndani ya WhatsApp uliyonayo tayari. Kuanza ni bure.
- Naweza kukata tiketi ya mtu mwingine?
- Ndiyo. Mpe Kika jina kamili la msafiri na namba yake; tiketi inakuja kwako na unaweza kumtumia.
Njia maarufu za mabasi
- Basi Dar es Salaam – Arusha
- Basi Arusha – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Moshi
- Basi Moshi – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Mwanza
- Basi Mwanza – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Dodoma
- Basi Dodoma – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Mbeya
- Basi Mbeya – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Tanga
- Basi Tanga – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Morogoro
- Basi Morogoro – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Iringa
- Basi Iringa – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Tabora
- Basi Tabora – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Kigoma
- Basi Kigoma – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Songea
- Basi Songea – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Mtwara
- Basi Mtwara – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Singida
- Basi Singida – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Shinyanga
- Basi Shinyanga – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Musoma
- Basi Musoma – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Bukoba
- Basi Bukoba – Dar es Salaam
- Basi Dar es Salaam – Njombe
- Basi Njombe – Dar es Salaam
- Basi Arusha – Mwanza
- Basi Mwanza – Arusha
- Basi Arusha – Dodoma
- Basi Dodoma – Arusha
- Basi Mwanza – Dodoma
- Basi Dodoma – Mwanza