Ona Kika ikifanya kazi.
See Kika at work.
Tiketi za safari, vipuri vya gari, dawa, na simu halisi ya Kika dukani. Chagua video, au jaribu mwenyewe kwenye WhatsApp.
Tiketi0:59Kika Moja: tiketi zote, chat mojaBoti, treni ya SGR, basi na events. Watu watano wanaomba, Kika moja inajibu.
Simu halisi1:38Kika inapiga simu dukaniRekodi halisi: Kika inauliza bei, stock na malipo ya vipuri vya Toyota IST.
Vipuri1:06Fundi wawili: saa nne Kariakoo, au dakika kumi na KikaJuma alituma picha ya kipuri kwa Kika. Abdallah alipanda boda. Nani alimaliza kwanza?
Dawa1:16Screenshot moja: krimu ya mtoto, duka la dawa la karibuNeema aliona krimu Instagram. Kika ilitambua jina lake na kupata duka la dawa Mikocheni.
Hakiki bei1:26Usitapeliwe: bili ya milioni mbiliLayla alipewa bili ya milioni 2. Kika ilipiga simu maduka: vipuri halisi kwa milioni 1.2.