Tunarudi Moshi: tiketi za basi bila stendi wala app
Back to Moshi: bus tickets without the stand or an app
Patrick anakaa masaa mawili kwenye foleni na kurudi bila tiketi. Mama Lyimo anaombwa account na password na app. Janet anamwambia Kika kwenye WhatsApp: mabasi matatu, anachagua siti, analipa kwa simu, na tiketi inaingia WhatsApp.
Patrick spends two hours in traffic and comes back without a ticket. Mama Lyimo's app asks for an account and a password. Janet tells Kika on WhatsApp: three buses, she picks a seat, pays by phone, and the ticket lands in WhatsApp.
Bure kuanza · Hakuna app · Kiswahili au Kiingereza
Maneno ya video
Video ya kuigiza: wahusika na hadithi ni ya kubuni, huduma ni halisi.
- JanetIjumaa sote tunarudi Moshi. Shida: tiketi za basi.
- JanetPatrick akaenda stendi ya Mbezi. Masaa mawili kwenye foleni.
- KaraniTiketi za Ijumaa zinaanza kuuzwa kesho.
- JanetAkarudi mikono mitupu.
- JanetMama Lyimo akaambiwa: download app. App ikamwomba account, password, code.
- Mama LyimoMimi nataka tiketi tu.
- JanetMimi nilimwambia Kika kwenye WhatsApp. Mabasi matatu. Nikachagua siti. Nikalipa kwa simu. Tiketi ikaingia WhatsApp.
- PatrickMasaa mawili foleni… nimeambiwa nirudi kesho.
- Mama LyimoApp imeniomba account.
- JanetMimi nimekata tiketi asubuhi, WhatsApp, kwa Kika.
- PatrickKika?
- Mama LyimoKika, nibukie basi la Moshi, Ijumaa asubuhi.
- JanetSote watatu, tiketi. Bila kurudi stendi. Bila app. Kata tiketi ya basi kwenye WhatsApp. Kika AI.




