Rudi ukurasa wa mwanzo

Hakiki

Kika ni kampuni halali iliyosajiliwa Tanzania

Kika ni huduma ya KIKAPAY TECHNOLOGIES LIMITED. Hiki ni cheti chetu cha usajili wa mlipakodi kutoka TRA. Unaweza kukihakiki mwenyewe kwa kuskani QR code iliyo kwenye cheti.

Kampuni
KIKAPAY TECHNOLOGIES LIMITED
Namba ya mlipakodi (TIN)
192-268-419
Imesajiliwa TRA tangu
30 Desemba 2025
Ofisi ya kodi
Kariakoo (Gerezani), Dar es Salaam
Cheti cha TRA cha KIKAPAY TECHNOLOGIES LIMITED, TIN 192-268-419
Gusa cheti kukifungua kikubwa.Pakua cheti (PDF)

Jinsi tunavyokulinda

  • Hatutakuomba kamwe PIN yako, wala kutuma pesa kwenye namba ya mtu binafsi.
  • Unalipa kampuni tu: ombi rasmi la PIN kwenye simu yako lenye jina la kampuni, au Lipa Namba ya KIKAPAY 48001519. Wewe ndiye unayeamua. Ukiona jina la mtu, usilipe.
  • Tiketi rasmi yenye namba (PNR) inakufikia ndani ya dakika chache, na unaweza kuithibitisha na kampuni ya basi.
  • Bei kamili unaiona kabla ya kulipa.

⚠️ Mtu akijifanya Kika na kukuomba pesa kwa namba yake, usilipe. Tuambie mara moja.

Wasiliana nasi

Huduma kwa wateja (WhatsApp):